Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa
Paul Matthysse
Pia anajulikana kama
P Funk, Majani, Kinywele Kimoja, Mdachi nk.
Asili yake
Tanzania
Aina ya muziki
Hip Hop na Bongo Flava
Kazi yake
Mtayarishaji
Ala
Kinanda,Guitar, Kinakilishi
Miaka ya kazi
mn. 1995 -
Studio
Bongo Records
Ame/Wameshirikiana na
Master Jay, Bonny Luv,Rajabu Marijani, Bizz Man, Boznia nk.
P Funk ambaye ni nusu Mtanzania na nusu Mdachi, kama miaka ishirini iliyopita alikuwa na hisia za kupendelea muziki na pindi hadi kuamua kufanya kweli kuvutiwa kwake kupenda muziki ndio chanzo kikubwa kilichopelekea kufanikiwa katika muziki.
Kwenye miaka 1991-92 wakati yupo bado shule IST (International School Of Tanganyika. Alikuwa mtundu mtundu kwenye studio za pale shule.. kupiga- piga midundo mbali mbali ya hapa na pale na kufoka-foka(Rap music) na pia alikuwa mbele sana kwa kupiga musiki kwenye Pati mbali mbali.. na hapo alikuwa kupenda sana muziki kwa ujumla.

Maoni
Chapisha Maoni