Master Jay Fuatilia......... Edit Joachim Marunda Kimaryo (maarufu kama Master J; alizaliwa 9 Agosti 1973) ni muandaaji wa muziki nchini Tanzania. Joachim Marunda Kimaryo Jina Kamili {{{jina kamili}}} Jina la kisanii Rap Master Jay, Master Jay, Baba Nuru nk. Nchi Tanzania Alizaliwa 9 Agosti 1973 Aina ya muziki Hip Hop, Bongo Flava, Kwaya, Dansi Kazi yake Mtayarishaji Miaka ya kazi mn. 1995 - Ameshirikiana na P Funk, Bonny Luv,Rajabu Marijani, Bizz Man, Marco Challi nk. Ala Kinanda,Guitar, Kinakilishi, Kuunjini Sauti Kampuni MJ Records Master J amewahi kupata tuzo ya Kili Music Awards mara mbili, mwaka 2004 na 2006. Master Jay ana uwezo mkubwa sana wa utengenezaji wa muziki. Anamiliki studio tatu tofauti, moja ya muziki wa Kwaya, moja ya Bongo Flava na nyingine ya muziki wa Dansi. ELIMU Master J alipata elimu ya msingi katika shule ya msingi Upanga lakini aliishia darasa la PILI na kuhamishiwa Botswana baada ya familia yake kuhamishiwa nchini huko kikazi. Mwaka 1996 alipata digrii ya el...
Maoni
Chapisha Maoni